Friday, March 27, 2015

FUATANA NAMI MPAKA MTO RUAHA / MBUGA YA WANYAMA

TUMALIZE WIKI HAPA RUAHA..PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA ...KAPULYA

10 comments:

Nicky Mwangoka said...

Nimependa hayo Mandhari

Yasinta Ngonyani said...

Ni mandhari nzuri ssna kaka Nicky, ukiwa hapo kuindoka hutaki ila huwa inakulazimu

NN Mhango said...

Napenda Ruaha sema naogopa wanyalukolo.

Yasinta Ngonyani said...

Wanyslokolo wepi tena kaka Mhango???

NN Mhango said...

Wanyalukolo wote. Wana hasira usipime.

Yasinta Ngonyani said...

Wanyalukolo wote??? Mmmhhh kaka sijui kama nimekupata hapa.......

NN Mhango said...

Kwani wewe ni mnyalukolo? Hawa jamaa kwa hasira usipime. Ukimtania tu anajinyonga. Nami ninavyopenda utani, naogopa kwenda kule nisisababishwe vifo vya wengi. Nadhani sasa umenipata vilivyo.

Yasinta Ngonyani said...

Nimekupata kakangu..kumbe tunafanana kidogo tabia...utani:-)

Rachel siwa Isaac said...

Hahahahaahhaa... napita tuu.

Yasinta Ngonyani said...

Shkrani kupita...salamu ni nusu ya kuonana:-)