Monday, March 9, 2015

TUANZE JUMATATU NA PICHA HII...

Harusi si lazima iwe kuuuubwa hata kwa baiskeli inawezekana. JUMATATU NJEMA!

3 comments:

Edward Komba said...

Hata wasindikizaji hawapo! Kweli ilongwi ndoa nga nikilawuki kunyumba.

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu Komba! hapa ni wawili tu !

ray njau said...

Nzuri sana!