Friday, March 6, 2015

UKIPATA WASAA EBU WASIKILIZENI HAWA VIJANA NA WIMBO WAO SHUKURANI.....


Nimeusikiliza  hawa vijana maneno yao nimeyapenda sana. Kwa kweli inabidi kumshukuru Mungu kwa lolote ufanyalo ana pia kumshukuru kwa wewe kuwa wewe. Binafsi nawatakieni Dogo Muu ft. Aslay waifikie ndoto yao.

2 comments:

NN Mhango said...

Hovyo, hawa walipaswa kuwa shule. Sioni wanachomsifia Kikwete zaidi ya kutaka awape chochote kile tokana na ukata alioutengeneza ili kuwa na waramba makalio. Japo maneno yao yanaweza kuonekana mazuri, ukiingia ndani zaidi ukaangalia kilichowafikisha pale badala ya kuwa darasani utaona kila kitu hovyo. Najaribu kupiga picha wanangu wangekuwa hivi na kwa maarifa niliyo nayo ningejisikiaje. Kwa wazazi maskini waliokwama watoto wao kufikia hapo ni kuukata lakini hakuna mstakabali mzuri baadaye.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango! Nakubaliana nawe kuwa ilipaswa wawe darasani na sio hapo walipo. Lakini kilichonivutia mie hasa hizo sauti zao...Binafsi kama mzazi pia sijapendezwa saana kuna hawapo darasani