Monday, March 23, 2015

KUMBUKUMBU.....LEO NI MIAKA MINNE TANGU MPENDWA WETU ASIFIWE NGONYANI ATUTOKE!!

 
 ASIFIWE WAKATI WA UHAI WAKE 
 Ni vigumu kuisahau tarehe 23/3/ 2011, siku hii ndiyo tuliyompoteza mpendwa wetu Asifiwe Ngonyani. Na leo imetimia miaka minne tangu ndugu yetu mpendwa Asifiwe atutoke. MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA. AMINA.....TUTAKUKUMBUKA MILELE....

9 comments:

mumyhery said...


R.I.P Asifiwe

Yasinta Ngonyani said...

Dada M. Ubarikiwe sana kwa kuungana na familia ya Ngonyani kwa siku hii ya leo.

NN Mhango said...

Mungu ailaze pema peoponi roho ya Asifiwe pia Mungu asifiwe kwa wema wake na faraja zake kwenu. Mlimpenda sana ila aliyemuumba alimpenda zaidi.

Anonymous said...

R.I.P Asifiwe. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango na kaka Salumu ahsantena kwa kutufariji wanafamilia. Mwenyezi awazifishie upenfo.

ray njau said...

Bado machungu yanagalipo na pole zangu natoa kwa wanafamilia.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Ni kweli machungu yangalipo yaani ni kana kaondoka lwo vile. Wanafamilia wamezipokwa pole zako...ahsante.

Rachel siwa Isaac said...

Poleni sana wapendwa..R.I.P.Asifiwe.

Yasinta Ngonyani said...

Kwa niaba ya wanafamilia nasema ahsante kachiki!