Sunday, March 15, 2015

SALA YA LEO...AMBAYO IMETUNGWA NA KAPULYA WENU.

Mwenyezi Mungu ! Sikuombi uyafanya maisha yangu yawe rahisi, isipokuwa nakuomba unipe nguvu za kukutana na shida zote.Amina

5 comments:

NN Mhango said...

Omba Mungu usikutane na matatizo yote hata kama una nguvu kama tembo. Omba usikutane na shida ndugu yangu. Shida hazina mazoea wala nguvu dada yangu.

Yasinta Ngonyani said...

Sawa kaka Mhango ntafanya hivyo

Anonymous said...

Umepaka rangi ya kucha nyeusi kumbe nawe umo. Huvumi lakini umo mdogo wangu Yasinta.

mumyhery said...

Ameen

Yasinta Ngonyani said...

USIYE NA JINA WA 1:40 pm! DUH UMEONA HADI RANGI YA KUCHA NILIPAKA...KUSEMA KWELI NAPAKA SANA RANGI YA KUCHA AMBAYO IPO KAMA MAJI TU.....

Dada M! Amina!