Thursday, June 6, 2013

BLOG MPYA KUANZISHWA...KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA KUBLOG...

Ni blog  mpya iliyoanzishwa hivi karibuni kwa kutaka kujua zaidi ni nini inaibui tembelea hapa... karibu sana ndugu yetu.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ngoja nianza kumkaribisha kaka Justin katika ulimwengu wa kublog..Karibu sana na sasa umeshakuwa ndugu. kama ule wimbo usemavyo sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja...KARIBU SANA

Justin Kasyome said...

Nakushukuru sana kwa kunikaribisha ndugu yangu! Naomba na wadau wengine wasinitenge!

emu-three said...

Twamkaribisha sana jirani yetu huyo , tupo pamoja naye, ila akumbuke ujirani ni kusalimiana, na kutembeleana

Inspiration stories said...

asante emu 3, nimekuone ntakuwa nakutemblea,ila nawe usikae kimya kunitembelea!