Monday, June 10, 2013

JUMATATU YA LEO:-KAMA WOTE TUJUAVYO TANZANIA INA MAKABILA 129 NA KILA KABILA INA LUGHA YAKE NAMI LEO NIMEFANYA UTAFITI/MBINU YA NENO AHSANTE SANA...

NENO AHSANTE SANA...TUANZA NA LUGHA YANGU,,,,
Kingoni -  Ahsante sana .......Usengwili sana
Kibena
Kihehe
Kipangwa wao husema ---- Udalike/Tuhongise
Kiha -----------Ulakoze
Kisukuma/ Kinyamwezi------Wabeja kulumba
Kichagga---------Aika mnu
Kinyakyusa------------------------Ndaga fijo
Kinyiramba------------------------Songela
Kifipa-------------------------------Sante kalesa
Kinyambo--------------------------Wakora muno
Kigogo------------------------------Sante muno muno
Msaada zaidi kama kuna anayejua/fahamu lugha nyingine nitashukuru sana..sana...Karibuni....


14 comments:

emu-three said...

KIPARE-Havache/havome mno

Amina mzava said...

Havome tehena hena havache emu three

Mfalme Mrope said...

Duh... hapo tinekwama aisee... ngoja nimpigie simu bibi, nitarudi niwaambie kwa Kimakua tunasemaje....(aibu!)

Anonymous said...

kimasaii ashe naleng

Inspiration stories said...

Mh!kiha?haaa!haaa!ulakoze chane i.e, asante sana!

Anonymous said...

Kiarabu: Shukran jazeelah. By Salumu

NN Mhango said...

Kikikuyu ni wega muno
Kinyasa Zikomo kwa mbiri
Kisambaa Ongea
Kizulu ngiyabonga, siyabonga
Kibemba Zambia Natolela sana
Kireno Obrigado
Kila la heri.

ray njau said...

Usengwili sana!!

Justine Nyilawila said...

kimanda.usengwili sana...

Halil Mnzava said...

Havome hena@ Amina Mnzava

Mija Shija Sayi said...

Kihaya: Wakora..

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu zanguni ahsanteni sana kwa mcango wenu mmenisaidia sana...na naomba endekeeni nimesahau kimatengo ahsante wanasemaje

Emmanuel Mhagama said...

Hii nimeipenda Sana. Ila sina nyongeza, ninayoyajua yote yamewekwa. Ndaga fijo naloli.

Yasinta Ngonyani said...

Kikukya ni Uchomeri