Saturday, June 1, 2013

MWEZI MPYA NIMEANZA HIVI:- NIMEFURAHI SANA KUUPATA WIMBO HUUU ..EBU SIKILIZA NA UNGANA NAMI KUCHEZA ..EEEHHHH CHEKETU

HUU NI WIMBO WA ASILI AMBAO NI WA WENYEJI WA MKOA WA RUVUMA NCHINI TANZANIA. WIMBO HUU UNAPATIKANA KWENYE ALBAM MWANA WA SHULI SHULI, MAANA YAKE MTOTO WA SHULE. WOTE MUWE NA JUMAMOSI NJEMA MIE HAPA NIPO HOI KABISA..KACHIKI NA WENGINE HAYA TWENDEEE twende mpaka asubuhi.....

5 comments:

Anonymous said...

Tunashukuru sana Dada yetu Yasinta kwa kutuwekea vitu hivi vya kinyumbani kwani nyimbo hizi zinatuburudisha sana hasa tuliombali na nyumbani. Keep it up!

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina ..Ahsante na wewe pia..

ray njau said...

Hakika jasiri mwenye asili kamwe hawezi kuacha asili yake japo yupo ughaibuni.

Rachel siwa Isaac said...

Duhhh kwakweli nilicheza mpaka nilitamani Tongwa..Asante sana KADALA Kwa ngoma!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! hakika kamwe na sitaacha asili yangu..kama nilivyosema mimi ni mTanzania Halisi...na naupenda uasili wangu kama Mngoni.

Kachiki...mbona togwa ilikuwepo hata ulanzi pia...:-)