Tuesday, August 16, 2016

KATIKA MAISHA NI BARAKA KUBWA SANA KUFIKIWA NA WAGENI:- KWA HIYO NASI JANA JUMATATU TULIPATA HIYO BARAKA

 Mlo wa pamoja, kulikuwa na vyakula mbalimbali kama vile  nyama choma nk. Ilikuwa ni  furaha sana kwa kweli....
Baada ya kula muda wa kuondoka wagen ulifika lakini hakuwa vizuri kuondoka tu bila kuacha ukumbusho wa. Ndiyo kama muonavyo ila wawili walikuwa wapiga picha...
Nawatakieni siku njema!

2 comments:

Pius Chaula said...

Safi sana!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Chaula! Kwaza karibu sana hapa kibarazani kwetu. Pia Ahsante kwa lako lilikokuwa moyoni kugawana nasi!