Sunday, August 14, 2016

UJUMBE WA JUMAPILI YA LEO 14/8/2016

Katika sehemu nyingi za kazi utakuta kuna baadhi ya watu hawawapendi wenzao. Lakini wewe fanya kazi haupo /haukuja kufuata /kutafuta urafiki na wao.
............................................................................................................................
TUENDELEE NA SALA HII KUTOKA KWANGU KUJA KWENU:-
Eee Mungu wangu nakuomba uwalinde familia, rafiki na jamii yote. Nakuomba uwalinde wakati wote na uwape afya njema, furaha na uwashushie baraka zako. AMINA.
JUMAPILI  IWE  YENYE BARAKA NA UPENDO KWAKO/KWENU! NA IKUMBUKWE KWAMBA NI JUMAPILI YA KUPAA KWA MAMA YETU MPENDWA BIKIRA MARIA 

2 comments:

Pius Chaula said...

thax sana na huo ndio ukweli wapo wasiopenda maendeleo ya watu wengine.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana kaka Chaula...pia karibu sana Maisha na Mafanikio.