Wednesday, August 3, 2016

LEO TUANGALIE BAADHI YA ZILIPENDWA....

Je? Unavikumbuka hivi? Ila naona kama vinarudi tena.  Vya kale ni dhahabu....

3 comments:

Japhet said...

Nimekumbuka hii, rafiki yangu na suruali buga zamani za kale, ha! nimecheka sana . Umenikumbusha enzi za kale

Yasinta Ngonyani said...

Kaka yangu Japhet...unajua vya zamani ni dhahabu siku hizi vinarudi tena na wanetu wanavipenda....Nakumbuka kulikuwa na mwalimu mmoja Ndunguru alipenda sana mvao huo viatu vya raizon na suruali buga/mabwanga...

NN Mhango said...

Dada hapo umeua. Umekosa buga na pekosi vinginevyo umepiga pale kwenye fasheni za zama zile tukiwa sekondari wajamenini!