Thursday, August 11, 2016

PICHA YA WIKI: TANZANIA -MALAWI BARABARA KUU KARIBU NA MBEYA.....

Nimependa mandhari ya hii barabara kiai kwamba natamani kuendesha ...maana ipo safi sana...na ndiyo maana nimeamua iwe picha ya wiki hii....

2 comments:

Japhet Samuel said...

Hapa ni Isyonje ukitoka Uyole Mbeya kwenda Tukuyu na Malawi

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Japhet! Ahante kwa mwelekezo ...