Monday, August 22, 2016

WIKI MPYA,JUMATATU MPYA NA CHANGAMOTO MPYA...MWONEKAN MPYA WA PICHA YA KAPULYA WENU:-)

Kwanza ilikuwa hivi ....Baadaye dada yangu Mariam akaona juna vitu vinakosekana  kama uonavyo  alivyoorodhesha katika picha....
Miaka imepita na jana ndipo nilipotumiwa hii picha kwa mfano huu. Hakika sikuitambua kabisa. Na bado sijitambui  maana hiyo si tabia yangu...Je wewe msomaji unauonaje huu mfano wa hii picha ya Kapulya ya mwisho?

5 comments:

Ester Ulaya said...

umenoga mno dada.....maana umekuwa tofauti na tulivyokuzoea..siku moja moja fanya hivi

Yasinta Ngonyani said...

Mama Mdogo Ester...Na wewe sasa unafikiri nitaweza kufumba macho au kulamba hiyo midomo...kusema kweli nitachekesha

Anonymous said...

Kitu natural nafagilia sana. By Salumu.

favor mutio said...

its cute

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! Basi tupo wawili tunaofagilia natural:-)

Favor mutio....thank you!