Sunday, March 9, 2014

JUMAPILI YA LEO TUSALI KANISA HILI LA WINO/PAROKIANI

Kanisa hili la Wino lina historia yake fupi katika familia ya akina Ngonyani. Ni kwamba baba yangu mkubwa ameshiriki ujenzi wa kanisa hili. Basi kwa kahistoria haka kafupii napenda kuwatakieni wote JUMAPILI  NJEMA pia kumbukeni mfungo wa PASAKA umeanza....Ni mimi Kapulya!!

4 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana KADALA wa mimi. Iwe njema kwenu pia.Salimia watu wangu hapo nyumbani.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante nawe pia KACHIKI. Nawe usisahau kuwapa salamu hapo kunyumba.

Ester Ulaya said...

asante sana dada kutukumbusha mfungo huu muhimu kwa wakristo

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin mdogo wangu...Ni kweli kabisa na karibu sana mambo ni kukumbushana.