Tuesday, March 18, 2014

KAPULYA NDANI YA NYEUPE NYEUPE..KUMBE NYEUPE NAYO NZURI!!!

 Hapa ilikuwa 2011
 Hapa 2013
Na hapa ni 2014 ingawa sketi si nyeupe  ila inaelekea huko huko...Kwa kawaida nilikuwa si mpenzi sana wa rangi nyeupe zaidi ya nilipåokuwa shule ya msingi, yaani kuvaa shati nyeupe. Na pia ile ndoto yangu ya kuwa sista maana ningekuwa navaa. Ila sasa ....kama watu wasemavyo mtu hubadilika napenda nyeupe ila sana sana nyeusi na  kijani:-).....SWALI:- Je wewe una rangi ambayo unaipenda sana kupita zote?

8 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Mimi napenda Nyeupe,Bluu na Nyekundu...

Umependeza sana KADALA pia umeanza kunyoa NYUSIIIII.....Yaani umetokelezeaaa....

hahahahahahhh...Jioni Njema dada wa mimi.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki...ama kweli tupo tofauti kwa kupenda rangi. Hahahaaaa kunyoa NYUSI..sijawshi tangu kuzaliwa, ukiona hivyo ujue ni uzee ...nyuso zinanyonyoka. ..

Rachel siwa Isaac said...

Hahahahaa...unauzee gani KADALA jamani?

Yasinta Ngonyani said...

KACHIKI...DALILI SI HIZO UMEZIONA NDUGU WANGU? ...:-D

NN Mhango said...

Si haba sister ulitoka kinomi nomi so to speak. Ipige tena sasa uone utakavyokwatuka na kutoka.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango! Ahsante. ..na wala usikonde nitatimiza pendekezo lako!

Justine Magotti said...

dada naona full kutokelezea sana tu mbona

Bashikulu Mligo said...

Mi napenda rangi ya bluu bahari. halafu ukikaa ulaya ni kama huzeeki
vile, kila siku nakuonaga uko vile vle.