Saturday, March 8, 2014

BLOGG YA MAISHA NA MAFANIKIO KATIKA SIKU HII YA WANAWAKE DUNIANI IMECHAGUA WIMBO HUU WA DADA FLORA MBASHA MAANA UMEBEBA UJUMBE MWANANA!!! UKIPATA WASAA SIKILIZA....


NAPENDA KUWATAKIENI JUMAMOSI HII YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI IWE NJEMA SANA. HONGERA WANAWAKE WOTE KWA SIKU HII! JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE ...Mwanamke simama imara wewe ni jeshi kubwa ujitambua.....na kuendelea

3 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana KADALA wa mimi..Nawe natumaini umekua na wakati mzur..
HONGERA ZAKO MWANAMKE WEWE...

WANAWAKE OYEEEEE!!!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki!!Ahsante sana ila alo majukumu yamenizidia na hapa naiba tu muda ....Maboxi tu. NAMI NASEMA WANAWAKE OYEEEEEEEEE!!!!!!!

Rachel siwa Isaac said...

Pole dada wa mmi, hata huku pia mabox tuu!!!!
OYEEEEEEEE!!!!!!!