Monday, March 3, 2014

JUMATATU YA LEO TWENDE KUWATEMBELEA NDUGU /JIRANI ZETU HUKO MBINGA!!!

Najua Mbinga kuna milima na mabonde mengi sana. Lakini hapa nimejiuliza hawa waliojenga hizi nyumba ama kweli wana moyo kweli...hapa ni MBUJI ROCH  ILIYOPO LIULI MBINGA...Basi ufikapo Mbinga usikose kutembelea ..

4 comments:

Interestedtips said...

Duh hilo jiwe linavutia jinsi lilivyo

Interestedtips said...

Duh hilo jiwe linavutia jinsi lilivyo

isaackin said...

jiwe limekaa vizuri sana,hujaona mawe ya singida dada.maana yale yamekaa km yanataka kuporomoka vile miaka nenda rudi

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Hakuna cha roho ngumu hasa ikizingatiwa kuwa angani kuna midude mikubwa yenyewe kuweza kuangamiza dunia kwa sekunde kuliko hayo matumbawe ya Mbuji Rochi. Ni suala la kuamini kuwa binadamu hana control ya majaliwa yake.