Friday, February 28, 2014

MWEZI WA PILI/FEBRUARI NDO UNAISHA LEO NAMI NIMEONA TUMALIZE KWA NYIMBO HIZI TATU...KUHUSU WAIMBAJI NA MIJI WALIYOZALIWA...KAPULYA NAYE ANATAKA KUIIMBA SONGEA:-)Na hapa je?


Au labda hapa

Je? wimbo upi wewe umeufia zaidi...Mimi bwana  ningekuwa na sauti kama zao ningetunga nami Songea All Stars...Songea ...Songea ...tunayo furaha kuwa wazaa wa Songea...Mhhhh ngoja niwasake waimbaji wote kutoka Songea tuanze hili zoezi. Hivi wapo kweli?
NAWATAKIENI WOTE MWISHO HUU WA MWEZI UWE MWEMA ...TUONANE TENA PANAPO MAJALIWA MWEZI UJAO!!!!

No comments: