Tuesday, February 18, 2014

HAPA NI MOJA YA VYAKULA BORA KATIKA MIILI YETU PAPAI...NIMETAMANI KWELI LEO!!TUNAAMBIWA kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Ila duh hapa nilipo vipapai vyenyewe kama ngumu yangu...wakati wengine wanalisha nguruwe haya mapapai pia maembe....na papai ni moja kati ya hivyo vyakula...TUSISAHAU KULA PALE TUKUMBUKAPO:-)

2 comments:

Anonymous said...

Mapapai mazuri na matamu! nayamissi mie, da Yasinta nitumie moja kwa email. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! ...yapo njiani yanakuja. .sio moja tu ni zaidi...