Sunday, February 9, 2014

MAOMBI YA JUMAPILI YA LEO NI KAMA IFUATAVYO:- SHUKRANI!!

Mungu wetu tunakushukuru kwamba unatupenda. Yesu Kristo ingia ndani ya mioyo yetu na uchukue dhambi zetu, huzuni, maumivu na hali yetu ya kutamamauka. Tupe tumaini, twaomba tupe maisha mapya. Ahsante sana Bwana tumeamini mioyoni kila mmoja anayekuja kwako ataokoka na kuanza maisha yake upya. Twasema AHSANTE kutukubali leo . Tupe moyo mpya na maisha mapya Bwana katika jina la Yesu Kristo.
AMINA.

6 comments:

Serina said...

Amina! Natumaini we na familia m'wazima Da'. Salamu kutoka kwetu Forsheda. Kram.

Yasinta Ngonyani said...

Dada yangu Selina ni siku nyingi umekuwa kimya natumaini u mzima na familia Salamu zimepokelewa kwa mikono miwili siku moja utashtukia tupo mlangoni:-)

Salehe Msanda said...

Ameen!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salehe! Mwenyezi Mungu na ashukuriwe Daima.

Anonymous said...

Karibu!- serina

Anonymous said...

JAMANI MPO TANZANIA KWELI ME NI MLOKOLE MPYA NAOMBA CHAKULA KIPYA CHA KIROHO KINACHOWEZA KUNIJENGA