Saturday, February 1, 2014

HUYU NDIYE MWANAMTINDO ATAKAYEFUNGUA MWEZI HUU WA PILI/FEBRUARI

Ebu angalia hapa alivyopendeza nimependa ile mbaya. Rangi zote zimekaa safi sana.
Hapa akaona abadili mtindo  amekaa na kofia nyingine hakika nimependa mno vazi hili. Na huyu binti si mwingine tena bali  ni shangazi yangu Paulina Mubelwa. Binti Bandio Mubelwa /Mzee wa Changamoto.
JUMAMOSI NJEMA.

7 comments:

Anonymous said...

Hongera Pauline Mubelwa kwa kupendeza sana sana saaaaaaaaaaaaaaaaana! Yani na alivyomzuri. Yani nimempenda sana huyo mtoto. Sijui ´baba yake ni Mubelwa Bandio au? Da Yasinta tujulishe. Mwanamitindo wa mwaka 2014 huyo....Pauline naomba niwe rafiki yako.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jini ni haswaaa ndiye binti mubelwa Bandio ...haha umechelewa ni rafiki yangu huyo:-D

Anonymous said...

Naomba na mie niwe rafiki yake wa pili, niunganishe basi nae. Hakika ni mtoto mzuri na amependeza sana. Rafiki yangu unaposoma huu ujumbe pinga urafiki na mie pia.

Ester Ulaya said...

jamani mtoto kapendezaaaa.....kweli february imeanza vema sanaa

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina hapo juu..kuhusu kukuunganishia ntafikiria:-)

Ester! Hakika nakuambia huu mwezi umeanza vema hasa na nadhani utakuwa mwezi wa rangi:-)

Mija Shija Sayi said...

Aisee.. Pau kakua namna hii! kweli tunazeeka.

Hongera sana Paulina na hongera wazazi kwa kumwonyesha msimamo tangu na mapemaaa..

JAH Bless!

Mija Shija Sayi said...

Aisee.. Pau kakua namna hii! kweli tunazeeka.

Hongera sana Paulina na hongera wazazi kwa kumwonyesha msimamo tangu na mapemaaa..

JAH Bless!