Thursday, February 22, 2018

NIMEKUMBUKA KWETU KIJIJINI LUNDO ....

Kwetu kijijini Lundo hata mawese yapo. Tulikuwa tukiyale kama yalivyo:-) Lakini pia hukamuliwa mafuta ni mafuta mazuri sana kwa kupikia vyakula

2 comments:

ray njau said...

Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na.................

Yasinta Ngonyani said...

NADHANI NI MTUMWA....