Saturday, February 17, 2018

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAMOSI NJEMA NGAWA HALI YANGU NI DHAIFU KIDOGO!

Ni jumamosi nyingine tena na kapulya leo kapataikana na tumafua kidogo lakini kwa maombi yenu naamini nitakuwa mzima kabla juu halijazama:-) Nawatakieni JUMAMOSI YENYE AMANI NA FURAHA KATIKA KIPINDI HIKI CHA KWARESMA.

4 comments:

Samwel protus said...

pole!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana ndugu yangu Samweli...na karibu sana katika kibaraza hiki...

ray njau said...

Ugua salama!!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kaka Ray!