Tuesday, September 12, 2017

VYAKULA AVIPENDAVYO KAPULYA WENU ...AU KUNA MWINGINE ANAPENDA KAMA MIMI??

NI WALI NA KUNDE...KWETU UNGONINI TWAITA (NGUNDI MANGI)
Baada ya chakula nilipenda sana haya matunda ...kwa mara nyingine tena kikwetu twaita MADONGA....
Nikikosa hivyo basi nakula uyoga....Je wewe kuna chakula hujala siku nyingi na sasa watamani kukila? Nawatakieni wote jioni njema!!!

2 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Huo uyoga usipime. Natamani ungebanduka nikautafuna.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango nipe anwani yako nitakutumia uyoga wala usikonde kabisaaaa...