Thursday, September 14, 2017

PICHA MOJA MWONEKANO TOFAUTI...SWALI JE? MWONEKANO UPI WAMFAA DADA HUYU?

Kwanza ilikuwa hivi ....Baadaye dada yangu Mariam akaona kuna vitu vinakosekana  kama uonavyo  alivyoorodhesha katika picha....
Miaka imepita na jana ndipo nilipotumiwa hii picha kwa mfano huu. Hakika sikuitambua kabisa. Na bado sijitambui  maana hiyo si tabia yangu...Je wewe msomaji unauonaje huu mfano wa hii picha ya Kapulya ya mwisho?
NAWATAKIENI JIONI NJEMA KWA WALE WATAKAOPITA HAPA KIBARAZANI....KAPULYA MDADISI WENU

2 comments:

NN Mhango said...

Mionekano yote poa. Nimshindwa kuchagua ni mwonekano upi uipiku ipi. Ninachoona ni kwamba mdada huyu amependeza. Halafu ni kama namfahamu kama sikosei. Sijui kama da Yasinta unamjua huyu mdada hapa.

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaaa duh! kaaazi kwelikweli...kusema kweli hata mie kama vile namfahamu kama simfananishi na mdada mmoja hivi....sijui kama kuna anayeweza kutusaidia ....kutuambia ni nani huyu.