Thursday, September 28, 2017

HII IWE PICHA YA WIKI....KATIKA WANYAMA NIWAPENDAO TWIGA NI NAMBA MOJA....

Wiki inakaribia kwisha sasa leo ni ALHAMIS nami nimeona hii iwe picha ya wiki hii sio mbaya kama ikiwezekana kufanya utalii wa ndani ili kupumzisha akili...
Chanzo cha picha ni kutoka kwa blog ya Mjegwa.  PANAPO MAJALIWA TUTAONANA. UJUMBE: TUKUMBUKANE SISI  SOTE NI WANANDUGU

2 comments:

Prince Emac said...

Amen naiwe njema kwako pia

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu Emac ahsante sana kutoacha kuwa nami...