Friday, March 2, 2012

NIMELIPENDA SHATI HILI ALILOVAA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE

Nimelipenda sana hili shati ningemfahamu alishona au chora ningemtafuta safi sana...........Limeonyesha rangi zote za BENDERA TAIFA YA TANZANIA ingawa kwa mtindo wake wa kipekee..Nimelipenda sana..KILA LA KHERI JAMANI...

5 comments:

ray njau said...

Ubunifu maridhawa!!!

Anonymous said...

wote wamepenzaa

Anonymous said...

wote wamependeza

Mcharia said...

Mmmmh.

Anonymous said...

hata mimi nimeipenda sana na ya huyo dada pia.safi.