Tuesday, March 20, 2012

PICHA ZA WIKI:- MWAKA JANA 2011 NILIPOKUWA NYUMBANI SONGEA/PERAMIHO/RUHUWIKO!!!!

..Ebu angalia bonge la mti hapa ni Peramiho wale walofika Peramiho kilimo cha mseto ...sijui nami naweza kunenepa /kuwa kama mti huu....





Au ngoja tumwangalia mdada akikagua shamba lake la ndizi au matunda kwa ujumla pia miti..ni mkulima pia mdada huyu:-)


11 comments:

emuthree said...

Kidogo tu tungelikutana, karibu tena

Baraka Chibiriti said...

Safi sana! Nimekupenda huko kwenu....ipo siku nitakuja kuwatembelea.

Simon Kitururu said...

Poa sana!Na shamba la migomba ni bonge la gesti!:-(

Yasinta Ngonyani said...

emu3! ni kweli ilibakikidogo tu tungeonana... Ahsante

Kaka baraka! Yaani KARIBU SANA nina uhakika utafurahia sana.

Simon! una maanisha nini usemapo shamba la migomba ni bonge la gesti?..Na Simon Ahsante kwa kupita hapa DAIMA PAMOJA:-)

Simon Kitururu said...

@Yasinta: Namaanisha siye wengine tusio na pesa za kwenda gesti za kiukweli. Migombani ni gesti na watoto kadhaa wa kadhaa wanatungiwa huko! Unabisha?

Yasinta Ngonyani said...

Oh, oh, oh!! kumbe ulikuwa na maana hiyo nakuelewa na umenikumbusha kama ile ya miembeni:-) Ahsante kwa ufafanuzi..

Simon Kitururu said...

Asante kwakunielewa mchuchu@Dada Yasinta

John Mwaipopo said...

yasinta kwani miembeni kuna historia yoyote unayoikumbuka?

batamwa said...

wewe mdada inaonekana kusaka maisha ndo kulikupeleka ulaya lakini zaidi ya hapo safi sana yaani unaipeleka mbali sana na huo mti natumai ndipo mnafanyia tambiko hapo uko unatambika watu hawajui faida ya miti asnte sana

ray njau said...

Asante Yasinta kwa kutukumbusha:Jasiri haachi asili na muacha asili...................!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka John! ni kwamba mwaka juzi au jana niliandika mada kuhusu mimi na rafik yangu tuli.....miembeni wakati tukienda hospitali umesahau?...

Batamwa! kilima ni msingi wa maisha. Na kuhusu huyo mti inawezekana ..LOL. Ahsante kwa ulichosema pamoja daima.

Kaka Ray...ni kweli anayesahau kwake huyo ana matata...