tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post2206277441648402789..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: PICHA ZA WIKI:- MWAKA JANA 2011 NILIPOKUWA NYUMBANI SONGEA/PERAMIHO/RUHUWIKO!!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-22436075982270926312012-03-22T11:56:36.491+01:002012-03-22T11:56:36.491+01:00Kaka John! ni kwamba mwaka juzi au jana niliandika...Kaka John! ni kwamba mwaka juzi au jana niliandika mada kuhusu mimi na rafik yangu tuli.....miembeni wakati tukienda hospitali umesahau?...

Batamwa! kilima ni msingi wa maisha. Na kuhusu huyo mti inawezekana ..LOL. Ahsante kwa ulichosema pamoja daima.

Kaka Ray...ni kweli anayesahau kwake huyo ana matata...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-575586200637906022012-03-21T17:05:06.792+01:002012-03-21T17:05:06.792+01:00Asante Yasinta kwa kutukumbusha:Jasiri haachi asil...Asante Yasinta kwa kutukumbusha:Jasiri haachi asili na muacha asili...................!!!!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-91104094009666292662012-03-21T11:24:12.190+01:002012-03-21T11:24:12.190+01:00wewe mdada inaonekana kusaka maisha ndo kulikupele...wewe mdada inaonekana kusaka maisha ndo kulikupeleka ulaya lakini zaidi ya hapo safi sana yaani unaipeleka mbali sana na huo mti natumai ndipo mnafanyia tambiko hapo uko unatambika watu hawajui faida ya miti asnte sanabatamwanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-78783775193354638672012-03-21T09:31:13.197+01:002012-03-21T09:31:13.197+01:00yasinta kwani miembeni kuna historia yoyote unayoi...yasinta kwani miembeni kuna historia yoyote unayoikumbuka?John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-89799901994185907852012-03-21T02:10:05.172+01:002012-03-21T02:10:05.172+01:00Asante kwakunielewa mchuchu@Dada YasintaAsante kwakunielewa mchuchu@Dada YasintaSimon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-77930969036955817212012-03-21T00:51:21.293+01:002012-03-21T00:51:21.293+01:00Oh, oh, oh!! kumbe ulikuwa na maana hiyo nakuelewa...Oh, oh, oh!! kumbe ulikuwa na maana hiyo nakuelewa na umenikumbusha kama ile ya miembeni:-) Ahsante kwa ufafanuzi..Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-85555586242923689672012-03-21T00:42:02.777+01:002012-03-21T00:42:02.777+01:00@Yasinta: Namaanisha siye wengine tusio na pesa za...@Yasinta: Namaanisha siye wengine tusio na pesa za kwenda gesti za kiukweli. Migombani ni gesti na watoto kadhaa wa kadhaa wanatungiwa huko! Unabisha?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-61391355451447666112012-03-21T00:38:32.088+01:002012-03-21T00:38:32.088+01:00emu3! ni kweli ilibakikidogo tu tungeonana... Ahsa...emu3! ni kweli ilibakikidogo tu tungeonana... Ahsante

Kaka baraka! Yaani KARIBU SANA nina uhakika utafurahia sana.

Simon! una maanisha nini usemapo shamba la migomba ni bonge la gesti?..Na Simon Ahsante kwa kupita hapa DAIMA PAMOJA:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-40383367354163390072012-03-21T00:18:22.807+01:002012-03-21T00:18:22.807+01:00Poa sana!Na shamba la migomba ni bonge la gesti!:-...Poa sana!Na shamba la migomba ni bonge la gesti!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-13916348905655148502012-03-20T19:58:58.509+01:002012-03-20T19:58:58.509+01:00Safi sana! Nimekupenda huko kwenu....ipo siku nita...Safi sana! Nimekupenda huko kwenu....ipo siku nitakuja kuwatembelea.Baraka Chibiritihttps://www.blogger.com/profile/13676316022327553398noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-61456197374783797602012-03-20T14:52:04.166+01:002012-03-20T14:52:04.166+01:00Kidogo tu tungelikutana, karibu tenaKidogo tu tungelikutana, karibu tenaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.com