Monday, March 26, 2012

TANZANIA YETU NA UZURI WAKE...MBUGA ZA WANYAMA!!!


NAWATAKIENI WOTE JIONI NJEMA SANA AU SIJUI MCHANA MAANA MASAA YAMETOFAUTIANA KILA NCHI.... Je kweli hakuna tu haja ya kujivuna hapa??

6 comments:

EDNA said...

Jioni njema mdada.

Anonymous said...

jioni njema dada yasinta

Anonymous said...

dada yasinta siku njema

Anonymous said...

dada yasinta siku njema

ray njau said...

Jioni njema sana Nangonyani.

NN Mhango said...

Nchi yetu ni nzuri sana sema ina viongozi wabaya, wa hovyo na waroho sana. Shame on them!
Ingawa simba wetu wanavutia. Mafisi na mafisadi wetu sina hamu. Heri ya simba na fisi wa mwituni kuliko wao.