Thursday, March 15, 2012

NIMELIPENDA GAUNI HILI MNO....

.......ebu angalia hizo rangi na jinsi lilivyorembwa, nimelipenda mno . Swali sijui nami nitapendaza kama lilivyompendeza huyu dada?:-)

7 comments:

Simon Kitururu said...

Hivi hili nalo ni gauni?
Hivi kwanza GAUNI ni nini?


Nawaza tu kwa sauti!

Yasinta Ngonyani said...

Simon Hili ni gauni ndiyo na gauni ni VAZI la mwanamke kwa kawaida!!

emu-three said...

Kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa,je hili linafaa?

Yasinta Ngonyani said...

Naona hilo la Taifa Linafaa zaidi na nalitafuta kwelikweli...Ahsante kwa kunikumbusha..

ISSACK CHE JIAH said...

msije mkapendekeza vazi la taifa liwe gauni jamani maana taifa zima tutakuwa ni... na kauli ya cameroo itatimia
asubuhi tulivu .........kisa Gauni
ni vazi nalo? itakuwa mada ya kesho

Rachel siwa Isaac said...

Utapendeza da;Yasinta,ni zuri lakini unaweza pendeza wewe na mimi nisipendeze@.

Anonymous said...

The аrticle featurеs νerified necessaгy
to mуself. It’s very informativе and yοu гeally аre obvіously verу knowlеdgeable in this area.
You get popped our eye foг уоu to varіоus views οn thіs
particulаг topiс together with intriguіng
and sοund wrіtten contеnt.

Alѕo vіsіt my ωeb pagе - buy Viagra online