Tuesday, March 27, 2012

RANGI NA UZURI WAKE!!!!!!!!!

Nimependa mchanganyiko huo wa rangi … kwa kutazama pia kuvaa … . ni ubunifu mzuri sana. Hivi hizi ni rangi za taifa fulani au ni kwamba imetokea tu mbunifu akabuni namna hiyo?
Pamoja Daima...

7 comments:

Mija Shija Sayi said...

Ni rangi za Rastafali Movement...

Hakina amependeza sana mdada huyo..

Ester Ulaya said...

mi nadhani ni rangi za Jamaica, sana, kwani weed pia inatawala sana huko

ray njau said...

Rangi zinapendeza sana machoni na mbunifu wake anastahili pongezi.Ukikisifia chombo usimsahau nahodha.

Rachel siwa Isaac said...

Rangi rangi Pouwaaa!

NN Mhango said...

Rangi zuri ila huo mmea uliochorwa nhhh! Kazi kweli kweli.

Justine magotti said...

NIMEIKUBALI ILE MBAYA HIYO RANGI.

Simon Kitururu said...

Rangi hizo utaziona kwenye bendera nyingi! Ila ilo ua kwenye vazi- hakuna ubishi ni BANGI!