Sunday, March 25, 2012

LEO NI JUMAPILI YA TANO YA KWARESMA!!


Napenda kwatakieni wote jumapili njema na upendo wenye baraka za Mungu utawale nyumbani mwenu!!!JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGU.

4 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Sina Bwana mwingine ila ni wewe, mimi sina uwezo,wewe ndiye BABA msaada wamgu wa karibu!!!!!!!Haleluyahhh, Ahsante dada yangu kwa huu wimbo wenye ujumbe mzuri, Pia J'2 njema kwenu hapo nyumbani , na wooote waingiao hapa.

sam mbogo said...

Huyu dada anaimba vizuri sana,kama ataenderea hivi waimbaji wengine wa nyimbo za dini wakae mkao wa kupitwa. ujumbe safi. naona chemwali Rachel bichikuti yangu wimbo/muziki kukunogea bibiweweee!. haya kwa alie tulete da Yasinta ubarikiwe kwa uchaguzi mzuri wa songi!? zikomu zikomu!! kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Rachel..naona umeshaukariri wimbo huu unaonaje kama tukianzisha kwaya yetu...Haya bwana mie jumapili yangu imeishia kubeba mabox..ila imekuwa njema na yenye baraka.
Kaka Sam.! Ahsante kwa baraka nawe pia

Anonymous said...

OK!