Sunday, March 18, 2012

NI JUMAPILI YA NNE YA KWARESMA SASA: WOTE MUWE NA JUMAPILI NJEMA NA BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU ZIWE KATIKA NYUMBA ZENU!!


Ni kipindi ambacho watu wahitaji kusameana na kuwa pamoja ...muwe na amani wote na baraka za mwenyezi Mungu ziwe kwenu. JUMAPILI NJEMA!!!

3 comments:

EDNA said...

Jumapili njema kwako pia na familia.

Rachel siwa Isaac said...

Ahsante sana dada, J'2 njema kwenu pi. Mungu awe nanyi daima!

eleonora mwagenu said...

Mungu awabariki katika kipindi hiki cha kwaresma nikipindi cha kutenda mema