Thursday, March 15, 2012

KUNA ANAYEJUA NI NINI KUNAMSIBU DADA SUBI?

Ndugu zanguni wapendwa, nimepatwa na mstuko jana baada ya kusoma ujumbe wake ambao ni huu hapa. Je? kuna anayejua ndugu yetu Subi ni nini kinamsibu/sumbua..?

6 comments:

John Mwaipopo said...

nami niliuona ujumbe wake wa kutaka watu wamuombee, pasi na kutujulisha nini kilikuwa kinamsibu. amefanya siri. ila kumuombea mtu sio lazima awe ana masaibu. yaweza pia kumjaalia/kumuombea mibaraka tele

Simon Kitururu said...

Sala yangu anayo!

Mija Shija Sayi said...

Kusema kweli hakuna anayejua ila kama alivyosema Mwaipopo yaweza kuwa mambo mazuri kama interview ya kazi, mitihani, kujifungua, safari n.k

Da'Subi nami kama Mtakatifu Kitururu sala yangu unayo, kila kitu kitakuwa sawa katika jina la Yesu. Amina.

ray njau said...

Kwa ujumla taarifa hii inazua maswali lukuki na majibu hakuna.Habari zaidi ni haki ya wadau wa kibaraza hiki.

Godwin Habib Meghji said...

At least katoa maelezo kidogo.