Friday, March 2, 2012

IJUMAA NJEMA KWA WIMBO HUU!! ZILIPENDWA NI TAMU!!


Ukiwa katika maumivu ya kupenda huu wimbo unaweza kupunguza maumivu au kuongeza...Nimeusikiliza jana zaidi ya mara kumi....Nangoja nini duniani bila kuwa na wewe mwenye shingo ya upanga....aahh naacha endeleeni nanyi pia.
IJUMAA NJEMA SANA!!!

6 comments:

Mwanasosholojia said...

Shukrani sana da'Yasinta,Ijumaa njema na kwako pia!

SIMON KITURURU said...

ijuumaa njema kwako pia KADALA!

ray njau said...

Asante sana binti Ngonyani.
Nakutakia wikiendi njema pamoja na wadau wote wa kibaraza chako maridadi sana.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mathew! ni kitambo sijakusoma.. nami natumaini nawe utakuwa na ijumaa njema.

Ahsante KADODA! Nina imani utakuwa na ijumaaa pia wikiendi njema.

Kaka Ray! Ahsante nawe pia pamoja na familia.

John Mwaipopo said...

hivi shingo ya upanga ikoje ikoje. nisaidieni tafadhali

Yasinta Ngonyani said...

Kaka John kwanza karibu tena naona majukumu yamebana kweli maana ulipotea. Ni hivi kaka John nitajaribu kujibu swali lako hili:- "hivi shingo ya upanga ikoje ikoje. nisaidieni tafadhali" na jibu lake ni hili hapa
Shingo ya upanga ni shingo ndefu iliyo nyooka siyo fupi.Sanasana mtu anaweza kusema ,mwenye shingo kama ya twiga.