Pole kijana.ndugu wanakupa lawama.kazi kwelikweli kuwa katika hali kama hii ya ndugu. katika familia zetu za kitanzania/Afrika,kwa hali hii. zamani wazee wetu waliweza,ila kwa maisha ya sasa ina kuwa ngumu,hasa maisha ya mjini,bora kuwa muwazi nakuwaambia nduguzako ukweli kama hali yako si nzuri.wakati mwingine sisi waswahili tunazidi sifa ,ukiwanacho kidogo mambo safi, basi utafungulia milango kwakila mtu huku ukimuacha mkeo nawatoto wakiteseka,kuna haja ya kubadirika.kusaidia ndugu ni muhimu sana ila pale inapowezekana.kaka s
Simon, Sam na Ray Ahsante wote kwa kuwa nami katika jumatatu hii. Lawama ni kuzipokea tu na kuendelea na maisha, kwa sababu hutawezi kumtimizia kila mtu atakacho maana mwisho utajikuta wenyewe umejisahau.
4 comments:
Mmmmmmmh!

Mikikimikiki ya maisha ni daraja la maisha na mafanikio.

Post a Comment