Thursday, May 26, 2016

NGOJA TUTOKE MOROGORO NA KUELEKEA SONGEA KWETU AMBAKO NI NYUMBANI - KIJIJI CHA LUGAGARA

SHULE YA MSINGI LUGAGARA
Lugagara , ipo katika Kata ya Kilagano , Songea Vijijini  , Mkoa wa Ruvuma  Lugagara ni kijiji ambacho kipo nje ya Songea karibu na Peramiho katika Kata ya Kilagano . Kijiji hiki kina Wakazi wasiozidi 3,700.

Wanafunzi wa shule ya msingi Lugagara wakiwa ndani ya mapozi:-) Nimekumbuka mbali kama vile najiona hapo....


2 comments:

kasian wa mdunduwalo said...

Napafahamu unaniku
mbusha mbalisana dada

Yasinta Ngonyani said...

Mlongo wangu Kasian! Karibu sana hapa kibarazani nafurahi kama umepata kumbukumbu....