Tuesday, May 17, 2016

ZILIPENDWA: HAPA NI POSTA MJINI SONGEA MKOANI RUVUMA 1960

Hivi ndivyo Ofisi ya Posta Mjini Songea, Mkoani Ruvuma ilivyokuwa ikionekana mwaka 1960.

4 comments:

hansom said...

SALAAM BLOGGER....NASHUKURU KWA MANDHARI NZURI ZA SIKU ZA NYUMA ZA SONGEA..SIKU MOJA NILIKUWA NA BABA YANGU MZAZI TULIPITA MITAA HIYO AKANIAMBIA KUWA HILO JENGO KULIA LILIKUWA NDIO KITUO KIKUU CHA POLISI KABLA YA KUHAMIA KULE KILIKO SASA....NA JENGO HILO KWA SASA LINATUMIWA NA POLISI CID MKOA HADI MIAKA YA HIVI KARIBUNI. HAYO MAJENGO MENGINE KUSHOTO NI MAHAKAMA NA BOMA(OFISI YA SERIKALI YA MKOLONI) AMBAYO NI OFISI YA MKUU WA WILAYA KWA SASA....OFISI YA POSTA IPO HAPO PEMBENI(HAIONEKANI)JIRANI NA ILIYOKUWA POLISI NA MAGEREZA KWA MBELE...TUJUZANE KWA WALE WENYE HABARI ZAIDI...

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Hansom..Kwanza Karibu sana Maisha na Mafanikio. Ulichosema ni kweli kabisa kwa kumbukumbu zangu pia...Nimefuraha sana kusoma kumbukumbu zako . Ahsante.

hansom said...

Haya Kapulya..siku njema...

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaa Kaka Hansom kumbe unalijua hili jina:-) haya nawe Uwe na siku njema pia.