Tuesday, May 24, 2016

UJUMBE WA LEO KUTOKA KWA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUJA KWA WEWE MSOMAJI WA MAISHA NA MAFANIKIO

"MAISHA NI MAFUPI SANA, UKIAMKA ASUBUHI NA MASIKITIKO HAIFAI. KWAHIYO WAPENDE WATU WANAO KUPENDA, SAHAU WALE AMBAO HAWAKUPENDI."
TUPO PAMOJA...KAPULYA.

4 comments:

Anonymous said...

Ndiyooo. Naunga hoja mia kwa mia. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! Nami nakuunga mkono kwa kuunga hoja. Ahsante!

ray njau said...

Ni ujumbe maridhawa na hauna madhara.Asante sana Kapulya.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante nawe pia kaka Njau...ni ujumbe maridhawa kilichobaki ni kuufanyia kazi tu:-)