Sunday, May 8, 2016

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JIONI HII YA JUMAPILI YA LEO KWA MLO HUU...

UGALI, KACHUMBALI NA SAMAKI WA KOKA
Mwenyezi Mungu na aubaribi mlo huu na watakaokula nao pia washibe na kupata baraka zake. JUMAPILI NJEMA SANA PIA JIONI NJMEA. KAPULA/KADALA

2 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Mlo unatamanisha kweli dada wa mimi
iwe njema kwenu pia.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi...Nakuambia mwenyewe hapa nimekaa nikitumbulia macho kama nini....Jumapili ilikuwa njema ingawa nimechelewa kujibu:-)