Thursday, May 5, 2016

ANAOMBA USHAURI AFANYEJE AWEZE KUOKOKA NA HILI JANGA?


Hapa inaonekana alikuwa anakata mti mara simba akatokea akapanda juu ya mti huko kakutana na nyoka, akataka ajirushe majini akaona mambo. Mmmh... hapa sijui bora akapambane na nyoka .... Je? ungekuwa wewe ungefanyaje?...

3 comments:

NN Mhango said...

Simpo, akate tawi au majani apambane na nyoka ambaye ni kiumbe dhaifu kuliko wengine kuliko kuchukua hatua nyingine tofauti na hiyo. Kifo cha nyoka kinaweza kuchukua muda mrefu ikilinganishwa na mamba simba na maji.

Anonymous said...

Ukimungúnya nchale, ukitema nchale................By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango! Ushauri wako nimeukubali maana hapo simba anasubiri kitoweo vilevile mamba naye....

Kaka Salumu....Huo usemi nimejifunza kitu maana ni mara ya kwanza kuusikia Ahsante.