Friday, May 27, 2016

CHAGUA LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII IWE PICHA YA MWISHO WA WIKI HII:- MAISHA YETU NA USAFIRI WETU....

Napenda usafiri wa baiskeli, ni usafiri mojawapo mzuri, hauna foleni ni rahisi kufika uendako...Ila hapo duh! dadangu kamaliza 4 kwa 1:-) ....ila tutafika tu!

3 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Nani kama mama...

NN Mhango said...

Huyu dada tafu kweli kweli. Wakenya husema ni mnoma kweli kweli. Nimependa hii kitu japo inaashiria umaskini wa kunuka.

Yasinta Ngonyani said...

Kadala wa mimi! hakuna kama mama kwa kweli!

Kaka Mhango! ni kweli sidhani kama huyu mama anapenda iwe hivyo hizo zote ni shida tu. .....