Monday, May 2, 2016

KILIO CHA MWANAMKE WA KIAFRIKA NI NANI AKISIKIE!?

Kulea kwa shida
Kutafuta maji kilomita kadhaa tena ya kisima
Kutafuta kuni kilomita kadhaa
Kupikia familia zao
Ndugu wasomaji leo jinsi  wanawake walivyokuwa na shughuli za kila siku katika kuhudumia familia zao, nilikutana na wanawake wakitafuta kuni, wako waliokuwa wakitafuta maji tena umbali mrefu. hiyo ilinikumbusha madhila wayapatayo wanawake wa vijijini ambao wanaishi katika mazingira magumu ajabu, halafu tunaambiwa eti kuna usawa, utoke wapi?

2 comments:

Kaka Japhet said...

Kilio cha wanawake wa Africa kusikiwa ni wanaume kubadilika tabia waweze kuacha mfumo dume ambao Mungu hapendi. Napata uchungu mkubwa hasa nionapo wanawake wanataabika, wanaume wenzangu wa Africa tuanze leo tunaposoma blog hii itatusaidia sana

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Japhet!
Nimesikia kilio chako nategemea na wengine wamesikia pia. Ahsante na karibu sana Maisha na Mafanikio.