Sunday, May 29, 2016

HILI NI VAZI LANGU LA LEO JUMAPILI HII YA MWISHO YA MWEZI HUU WA TANO NA PIA NI SIKU YA AKINA MAMA/MORSDAG

 Ni vazi langu mpya na nilipendalo hapa bila mkanda
Na hapa nimejaribu kutinga na mkanda kama nipendavyo....sijajua ipi ni safi zaidi :-)....NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA NA PIA IWE SIKU NJEMA KWA AKINA MAMA WOTE/MORSDAG NANYI AKINA BABA NA AKINA KAKA MUWE NA SIKU NJEMA PAMOJA NA AKINA MAMA, DADA, SHANGAZI, BIBI...NK. Kapulya wenu.

5 comments:

Anonymous said...

MORSDAG to you dada Kapulya. By 1saLUMU.

ray njau said...

Ni vazi maridhawa kwa mwanamke anyeheshimika katika jamii yake. Hongera sana kwa uchaguzi mwema wa mavazi.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu Ahsante sana MORSDAG ilikuwa bombi sana...

Kaka Ray! Ahsante kwa kulienda vazi langu...

ray njau said...

Vazi limempata mvaaji,hongera sana!

Yasinta Ngonyani said...

Na ungejua nilipendavyo yaani kama vile uliniona ...Ahsante sana