Saturday, May 5, 2012

JINSI YA KUTENGENEZA CHAPATI..


Kuna msomaji wa Maisha na Mafanikio aliniomba kujua jinsi ya kutengeza "recipe" ya chapati . Maana kila yeye anapojaribu huwa haziwi kama atakavyo yaani laini. Ndugu msomaji naokuomba jaribu kufanya kama hapa kwenye hii video. Mie nimejaribu na nimefaulu tena leo asubuhi ndo ulikuwa mlo wangu kwa chai. NAKUTAKIE KILA LA KHERI NAJUA UTAWEZA NA UTAFURAHIA. JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE ....

2 comments:

Mtani said...

Hiyo rangi ya blue imeua maandishi ya ujumbe wako. Wengine macho yetu ya kuvizia.

Yasinta Ngonyani said...

Nimekuelewa MUTANI na nimerekebisha..Ahsante!