Tuesday, May 29, 2012

BUSTANI YANGU INAVYOONEKANA KWA SASA..AU JANA JUMATATU!!!

 Hapa ni kaeneo ambako huwa nalima bustani  za mbogamboga za aina mbalimbali. Na jana Jumanne ya 28/5-12 ndio nimepanda . nimepanda Corrot, maharagwe, mchicha, maboga, figiri, vitunguu, nyanya, nk. Kutokana na hali ya hewa kuwa si nzuri sana mwaka huu inasemekana nimechelewa kidogo....Ila baada ya wiki chacha nategemea mimea itakuwa imeanza kuota...au kuwa kama ...

...katika bustani hii hapa . Majibu tutayapanda karibuni. Hii ndiyo moja ya shuguli nilizozifanya jana. PAMOJA DAIMA SANA!!!

17 comments:

emu-three said...

EEEH, Hata huko kumbe mnalimaga,kuna maeneo unawezakulima? Sikujua

Yasinta Ngonyani said...

emu3! mimi ni mkulima bwana na pia si unajua vya kulima mwenyewe ndio vitamu zaidi..wengi wana maeneo lakini wanachofanya ni kuwa na nyasi ila mimi nimeona nyasi siwezi kula aheri nipata vilivyo..ni kaoneo kadogo tu. Ila hata ukitaka kubwa kuna sehemu unaweza kukodisha. Mie hapa panatosha.

John Mwaipopo said...

pamoja na changamoto ya hali ya hewa waswahili wahenga walinena-ga "Jembe halimtupi mkulima". ila hala hala siku ya kuviweka mezani usinisahau.

vipi 'nguniani' inaota huko?

ray njau said...

Hakika unastahili pongezi kutokana na kazi ya mikono yako.
----------------------------------
Methali 31:1-31

1 Maneno ya Lemueli mfalme, ujumbe mzito ambao mama yake alimwambia ili kumrekebisha:

2 Niseme nini, ewe mwanangu, niseme nini, ewe mwana wa tumbo langu, niseme nini, ewe mwana wa nadhiri zangu?

3 Usiwape wanawake nguvu zako za uhai, wala njia zako kwa kitu ambacho hufanya wafalme wafutiliwe mbali.

4 Haifai wafalme, ewe Lemueli, haifai wafalme kunywa divai wala maofisa wakuu kuuliza: “Kileo kiko wapi?” 5 ili mtu asinywe na kusahau jambo lililoagizwa na kupotosha haki ya yeyote wa wana wa mateso. 6 Mpeni kileo mtu yeyote anayekaribia kuangamia na kuwapa divai watu wenye uchungu katika nafsi. 7 Acheni mtu anywe na kuusahau umaskini wake, na mtu asiikumbuke taabu yake tena.

8 Fungua kinywa chako kwa ajili ya mtu asiyeweza kusema, ili kutetea watu wote wanaopitilia mbali. 9 Fungua kinywa chako, hukumu kwa uadilifu na kutetea mtu mwenye kuteseka na maskini.

10 Mke mwenye uwezo, ni nani anayeweza kumpata? Thamani yake inapita sana ile ya marijani.

11 Moyo wa mume wake umemtegemea, wala hakuna faida inayokosekana.

12 Amemthawabisha mume wake kwa mema, wala si kwa mabaya, siku zote za maisha yake.

13 Ametafuta sufu na kitani, naye hufanya kazi yoyote inayopendeza mikono yake.

14 Amekuwa kama meli za mfanyabiashara. Huleta chakula chake kutoka mbali.

15 Tena huamka kabla usiku haujaisha, na kuwapa watu wa nyumbani mwake chakula na kuwapa vijana wake wa kike fungu lao lililoamriwa.

16 Amefikiria shamba, akalinunua; amepanda shamba la mizabibu kutokana na matunda ya mikono yake.

17 Amejifunga nguvu viunoni, naye ameitia nguvu mikono yake.

18 Ametambua kwamba biashara yake ni nzuri; taa yake haizimiki usiku.

19 Amenyoosha mikono yake kushika kijiti cha kusokotea uzi, nayo mikono yake mwenyewe imeshika gurudumu la kusokota nyuzi.

20 Amewanyooshea mkono wenye kuteseka, na mikono yake amemkunjulia maskini.

21 Hana wasiwasi juu ya watu wa nyumbani mwake kwa sababu ya theluji, kwa maana watu wote wa nyumbani mwake wamevaa mavazi mawili.

22 Amejitengenezea matandiko yenye mapambo. Mavazi yake ni ya kitani na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau.

23 Mume wake ni mtu anayejulikana malangoni, anapoketi pamoja na wanaume wazee wa nchi.

24 Hata ametengeneza mavazi ya ndani na kuyauza, nao wafanya-biashara amewapa mishipi.

25 Nguvu na fahari ndiyo mavazi yake, naye anaucheka wakati ujao.

26 Hufungua kinywa chake kwa hekima, na sheria ya fadhili zenye upendo ziko katika ulimi wake.

27 Anaangalia shughuli za nyumba yake, wala hali mkate wa uvivu.

28 Wanawe wamesimama na kumtangaza kuwa mwenye furaha, mume wake husimama, naye humsifu.

29 Kuna binti wengi ambao wameonyesha uwezo, lakini wewe—wewe umewapita hao wote.

30 Uvutio unaweza kudanganya, nayo sura yenye kupendeza inaweza kuwa ubatili; lakini mwanamke anayemwogopa Yehova ndiye anayejiletea sifa.

31 Mpeni baadhi ya matunda ya mikono yake, nazo kazi zake na zimsifu malangoni.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka John! hapa umenena ni kweli jembe halimtupi nje na tena nilikuja na jembe langu. Na wala usikonde vikiwa tayari wala sitakusahau.....nanukuu "vipi 'nguniani' inaota huko?" Samahani sijui NGUNIANI ni nini? na ndio siwezi kujibu.
Kaka Ray!! Ahsante kwa pongezi na pia kwa neno la leo.

Rachel Siwa said...

Hongera sana da'Kadala, mimi usinisahau siku ya Kuvuna!!!!!

wenu Kachiki!!!

Simon Kitururu said...

Poa sana Kadala!Nakupendea sana mpaka kwa hili!

EDNA said...

Hongera kazi nzuri tunasubiri kuvuna,wanasema mkulima mmoja walaji wengi.

John Mwaipopo said...

ha! ha! ha! huo ulikuwa mtego tu. nguniani ni lugha ya mbeya kumaanisha majani ya maharage/kunde.

Mija Shija Sayi said...

Kaka Ray ujumbe umekamilika kabisa.

Yasinta uko mbali ndugu yangu, wewe ni mfano wa kuigwa.

Hongera sana Da Kadala.

Interestedtips said...

HONGERA SANA DA YASINTA, YAANI UKO JUU, NAKUTAMANIA KWELII

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta hongera. Pia nitumie fursa hii kukupa email yangu ili tuwasiliane kuhusu vitabu tulivyosoma shule za msingi. Ni mpayukaji@yahoo.com. Mboga zikiwa tayari tutumieni nasi ingawa tunazipata huku lakini nyingi ima ni za India au West Africa.

ray njau said...

10 Mke mwenye uwezo, ni nani anayeweza kumpata? Thamani yake inapita sana ile ya marijani.

11 Moyo wa mume wake umemtegemea, wala hakuna faida inayokosekana.

12 Amemthawabisha mume wake kwa mema, wala si kwa mabaya, siku zote za maisha yake.

13 Ametafuta sufu na kitani, naye hufanya kazi yoyote inayopendeza mikono yake.

14 Amekuwa kama meli za mfanyabiashara. Huleta chakula chake kutoka mbali.

15 Tena huamka kabla usiku haujaisha, na kuwapa watu wa nyumbani mwake chakula na kuwapa vijana wake wa kike fungu lao lililoamriwa.

16 Amefikiria shamba, akalinunua; amepanda shamba la mizabibu kutokana na matunda ya mikono yake.

17 Amejifunga nguvu viunoni, naye ameitia nguvu mikono yake.

18 Ametambua kwamba biashara yake ni nzuri; taa yake haizimiki usiku.

19 Amenyoosha mikono yake kushika kijiti cha kusokotea uzi, nayo mikono yake mwenyewe imeshika gurudumu la kusokota nyuzi.

20 Amewanyooshea mkono wenye kuteseka, na mikono yake amemkunjulia maskini.

21 Hana wasiwasi juu ya watu wa nyumbani mwake kwa sababu ya theluji, kwa maana watu wote wa nyumbani mwake wamevaa mavazi mawili.

22 Amejitengenezea matandiko yenye mapambo. Mavazi yake ni ya kitani na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau.

23 Mume wake ni mtu anayejulikana malangoni, anapoketi pamoja na wanaume wazee wa nchi.

24 Hata ametengeneza mavazi ya ndani na kuyauza, nao wafanya-biashara amewapa mishipi.

25 Nguvu na fahari ndiyo mavazi yake, naye anaucheka wakati ujao.

26 Hufungua kinywa chake kwa hekima, na sheria ya fadhili zenye upendo ziko katika ulimi wake.

27 Anaangalia shughuli za nyumba yake, wala hali mkate wa uvivu.

28 Wanawe wamesimama na kumtangaza kuwa mwenye furaha, mume wake husim

ray njau said...

0 Mke mwenye uwezo, ni nani anayeweza kumpata? Thamani yake inapita sana ile ya marijani.

11 Moyo wa mume wake umemtegemea, wala hakuna faida inayokosekana.

12 Amemthawabisha mume wake kwa mema, wala si kwa mabaya, siku zote za maisha yake.

13 Ametafuta sufu na kitani, naye hufanya kazi yoyote inayopendeza mikono yake.

14 Amekuwa kama meli za mfanyabiashara. Huleta chakula chake kutoka mbali.

15 Tena huamka kabla usiku haujaisha, na kuwapa watu wa nyumbani mwake chakula na kuwapa vijana wake wa kike fungu lao lililoamriwa.

16 Amefikiria shamba, akalinunua; amepanda shamba la mizabibu kutokana na matunda ya mikono yake.

17 Amejifunga nguvu viunoni, naye ameitia nguvu mikono yake.

18 Ametambua kwamba biashara yake ni nzuri; taa yake haizimiki usiku.

19 Amenyoosha mikono yake kushika kijiti cha kusokotea uzi, nayo mikono yake mwenyewe imeshika gurudumu la kusokota nyuzi.

20 Amewanyooshea mkono wenye kuteseka, na mikono yake amemkunjulia maskini.

21 Hana wasiwasi juu ya watu wa nyumbani mwake kwa sababu ya theluji, kwa maana watu wote wa nyumbani mwake wamevaa mavazi mawili.

22 Amejitengenezea matandiko yenye mapambo. Mavazi yake ni ya kitani na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau.

23 Mume wake ni mtu anayejulikana malangoni, anapoketi pamoja na wanaume wazee wa nchi.

24 Hata ametengeneza mavazi ya ndani na kuyauza, nao wafanya-biashara amewapa mishipi.

25 Nguvu na fahari ndiyo mavazi yake, naye anaucheka wakati ujao.

26 Hufungua kinywa chake kwa hekima, na sheria ya fadhili zenye upendo ziko katika ulimi wake.

27 Anaangalia shughuli za nyumba yake, wala hali mkate wa uvivu.

28 Wanawe wamesimama na kumtangaza kuwa mwenye furaha, mume wake husimama, naye humsifu.

29 Kuna binti wengi ambao wameonyesha uwezo, lakini wewe—wewe umewapita hao wote.

30 Uvutio unaweza kudanganya, nayo sura yenye kupendeza inaweza kuwa ubatili; lakini mwanamke anayemwogopa Yehova ndiye anayejiletea sifa.

31 Mpeni baadhi ya matunda ya mikono yake, nazo kazi zake na zimsifu malangoni.

Matha Malima said...

shimoo dada yangu habari za siku nyingi nimefurahi kuona chaina ikiwa imechanua hivyo natamani nipike maji na chumvi na nyanya moja alafu na nyama ya kukaanga pembeni .

Salehe Msanda said...

Hongera kwa kuenzi kilimo na kukumbuka uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania pamoja na kuwa kilimo chetu hajakuwa chenye tija. Kilimo cha kujikimu.

Kila la kheri

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa kuwa nami katika UKULIMA HUU WA BUSTANI..Na wala msikonde wakati wa kuvuna ukifika wote mnakaribishwa..ila kitu kimoja mje na unga..LOL