Wednesday, May 23, 2012

KAZI YA UALIMU SI LELEMAMA NI NGUMU!!

Kwa vile ni JUMATANO YA MARUDIO NIMEONA SI VIBAYA TUKIANGALIA NA HII!!
Picha/katuni:- http://hapakwetu.blogspot.se/

8 comments:

ray njau said...

UALIMU NI WITO:
-------------
Iwapo mwalimu ataamua kufanya kazi yake bila ya moyo wa kujituma na nia ya kusaidia hakuna mwanafunzi atakayeweza kufaidika na mchakato wa elimu.

Ester Ulaya said...

Ray Njau uko sahihi kabisa, ualimu ni WITO

ray njau said...

SWALI:
JE MCHAKATO WA MAISHA NA MAFANIKIO UNGESONGEA BILA WALIMU?

ray njau said...

"UNGESOGEA"?

Yasinta Ngonyani said...

Ray na Ester! Si uwongo Ualimu ni wito..kama huna ule uvumilivu hakiaka utaacha siku ya kwanza tu. Sio kwamba mimi ni mwalimu hapana ila maisha yangu yote nimeishi na mwalimu/walimu na nimezungukwa na walimu tu. Baba, mjomba, kaka, na hata mume..kwi kwi kwi....:-)

ray njau said...

Ukikaa karibu na mawaridi nawe utapata harufu ya mawaridi.Na wewe sasa ni mwalimu ndani ya jamii yako kupitia kibaraza cha maisha na mafanikio.Hongera sana kamwe usilegele mikono yako maana jamii yako inakubali kazi yako.

ray njau said...

"HONGERA SANA NA KAMWE USILEGEZE MIKONO YAKO".

ray njau said...

"SHIKAMOO MWALIMU YASINTA"!!!