Friday, May 11, 2012

UJUMBE WA IJUMAA YA LEO NI:-

Mtu ambaye hajitendei wema mwenyewe, basi huyu hawezi kuwatendea wengine wema!!
NAWATAKIENI WOTE MWISHO WA JUMA UWE MWEMA!!

5 comments:

Lulu Kilonzo said...

Ndio maana tuliambiwa "Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe"

Lulu Kilonzo said...

Ubarikiwe Yasinta na uwe na weekend njema

Yasinta Ngonyani said...

Kweli kabisa dada Lulu!
Ubarikiwe nawe pia Ahsante na karibu tena dada Lulu!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

mambo mswano!

Rachel siwa Isaac said...

Ahsante dada Yasinta,mtu unaweza kujinyanyasa mwenyewe@