Sunday, October 23, 2011

JUMAPILI YA LEO EBU TUSIKILIZE KWAYA HII YA WATOTO HAWA!!


Nimeipenda kwaya hii watoto wanaimba vizuri pia wana sauti nzuri.Nikaona tusiwasahau watoto na ndio nikaona wao watupe raha jumapili ya leo. JUMAPILI NJEMA SANA KWA WOTE.

4 comments:

Simon Kitururu said...

Jumapili njema kwako pia Mdada!

sam mbogo said...

watoto ufalme wa mbinguni niwao.jumapili njema na weye,Yasinta.kaka s

Rachel Siwa said...

Asante da'Yasinta iwenjema kwako pia.

Yasinta Ngonyani said...

Simon,KakaS na Da Rachel! Ahsanteni sana naamini nanyi mmekuwa na jumapili njema:-)